Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga (CCM), Iringa, William
Mgimwa amefariki dunia jana katika Hospitali ya Kloof Medi-Clinic,
Pretoria, Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa.Habari zilizopatikana jana kutoka Ubalozi wa
Tanzania nchini Afrika Kusini kupitia kwa Msemaji wake, Habib Awesi
zilisema Waziri Mgimwa amefariki dunia mchana...