Rais wa serikali ya mpito ya Jamhuri ya Afrika ya Kati amezikosoa
nchi za Ulaya kwa kushindwa kutimiza ahadi zao kwa nchi yake
Wednesday, 2 April 2014
cherekochereko kwa watanzania walioathirika na ugaidi katika balozi za us.
Watanzania wanne waliojeruhiwa katika mlipuko wa bomu katika ubalozi wa Marekani mwaka 1998 na wengine watano waliofariki dunia katika mlipuko huo watalipwa fidia ya Sh672 bilioni,
2 wakamatwa na maguruneti Kenya
Watu wawili wamekamatwa baada ya kupatikana wakiwa na
maguruneti mawili nyumbani mwao wakati polisi wakiendelea na msako
mkali mtaani Easteligh nchini Kenya.
Subscribe to:
Posts (Atom)