Showing posts with label kijamii. Show all posts
Showing posts with label kijamii. Show all posts

Monday, 10 November 2014

UTANDAWAZI WAZUNGUMZWA KAMA NGUZO KUU YA MAENDELEO.



Wanafunzi wamedhiirisha uwezo wao wa kujadili masuala mbalimbali ya kimaadili ikiwemo kupanga namna ya kuweza kupambana na changamoto za kimaadili katika

Wednesday, 2 April 2014

cherekochereko kwa watanzania walioathirika na ugaidi katika balozi za us.















Watanzania wanne waliojeruhiwa katika mlipuko wa bomu katika ubalozi wa Marekani mwaka 1998 na wengine watano waliofariki dunia katika mlipuko huo watalipwa fidia ya Sh672 bilioni,

Panza azikosoa nchi za Ulaya kwa kutotekeleza ahadi

















Rais wa serikali ya mpito ya Jamhuri ya Afrika ya Kati amezikosoa nchi za Ulaya kwa kushindwa kutimiza ahadi zao kwa nchi yake

2 wakamatwa na maguruneti Kenya














Watu wawili wamekamatwa baada ya kupatikana wakiwa na maguruneti mawili nyumbani mwao wakati polisi wakiendelea na msako mkali mtaani Easteligh nchini Kenya.

Tuesday, 18 February 2014

Wachimba migodi wahofia kukamatwa














Kundi la wachimbaji migodi haramu waliookolewa kutoka mgodi uliotelekezwa nchini Afrika Kusini na maafisa wa uokoaji wanatarajiwa kufika kizimbani hivi leo.

Tuesday, 11 February 2014

vijana vyuoni mwanza wavunja ukimya















bango la vijana wa vyuo mwanza ya kuonyesha mahaba yao kwa mh.waziri kuu mstaafu Edward N.Lowasa


























Mh.waziri mkuu mstaafu Fredrik Sumaye. Akizungumza na waandishi wa habarai mara baada ya kongamano na wanavyuo














kwa hali hii kuondokana na ajali za barabarani hatuponi.

hii ni moja ya picha zinazoonyesha namna gari iiyopata ajali katika barabara kuu ya jiji la mwanza.

swala la usalama inaanza na sisi wenyewe kwani usalama wa mtu ni lazima uwe katika hatma ya wapi,nini na wapi .

Wednesday, 5 February 2014

MAENDELEO NI UELEEWA WA JAMBO?














swala la TFD's ni swala la uelewa kwani inaonekana tangu serikali kupitia bunge lilipopitisha kumekuwepo na giza tototro juu ya matumizi ya

JE MAHAKAMA TANZANIA ITAFIKIA HATUA YA KUTOA HAKI YA KWELI?

Jaji mfawidhi kanda ya mwanza Bi.Aishaeli Sumari.akitoa hotuba katika maadhimisho ya siku ya sheria nchini.










imefkia wakati mahakama inatakiwa kuwa ya wazi kwa wote ili kufanya haki itendeke na ionekane inatendeka hii ni kwa mujibu wa sheria na

Tuesday, 31 December 2013

Wataka kamati iwataje wabunge wanaohusika na ujangili












Wananchi mbalimbali wakiwamo wasomi na wabunge, wamelitaka Bunge kuweka wazi majina ya wabunge waliotajwa kuhusika na vitendo vya ujangili wa wanyamapori.
Wakati akiwasilisha taarifa ya Kamati ndogo ya Uchunguzi ya Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kuhusu Operesheni Tokomeza Ujangili, Mwenyekiti wake, James Lembeli alisema

JK ateua IGP mpya












Rais Jakaya Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi, Ernest Mangu kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.
Taarifa iliyotolewa jana usiku na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ilisema kuwa Kamishna Mangu anachukua nafasi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini aliyestaafu, Saidi Mwema.

Serikali ya Tanganyika yaibuliwa katika Rasimu ya pili












Tume ya Mabadiliko ya Katiba imetoa Rasimu ya Pili ya Katiba ikiwa na mambo sita mpya, huku ikiendelea kupendekeza Muungano wa Serikali tatu na kurejea kwa nchi ya Tanganyika.
Rasimu hiyo ya Pili ambayo imetolewa miezi saba baada ya Rasimu ya Kwanza, ilikabidhiwa jana kwa Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba

Thursday, 26 December 2013

Kakobe ataja chanzo cha mawaziri kutokufanya kazi ipasavyo na kuwa mzigo.












Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zacharia Kakobe amesema mawaziri mizigo ni matunda ya uteuzi mbovu unaofanywa na mamlaka husika ambao hauzingatii vipawa vya uongozi.

Tuesday, 3 December 2013

BAJETI YA KUWAHUDUMIA ALBINO. Halmashauri Zaagizwa











Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Hawa Ghasia ameziagiza Halmashauri zote Nchini kutenga bajeti kwa ajili ya kuwahudumia watu wenye ulemavu wa ngozi kwa kuzingatia takwimu za sensa ya mwaka 2012.

Katika siku ya walemavu duniani UM unataka nchi ziwasaidie zaidi walemavu



















Katika kuadimisha siku ya kimataifa ya walemavu kauli mbiu ya mwaka huu ni kutimiza ahadi, na kuwashirikisha walemavu katika malengo ya maendeleo ya milenia.

Homa ya Ripoti ya CAG yatinga bungeni












Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaanza mkutano wake wa 14 mjini Dodoma leo, huku kukiwa na homa ya matokeo ya mjadala wa Taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2011/12.

Friday, 29 November 2013

Njia mpya ya Reli Afrika Mashariki













Kenya imezindua rasmi ujenzi wa njia ya Reli itakayounganisha kanda ya Afrika Mashariki na eneo la maziwa makuu ujenzi utakaofadhiliwa na serikali ya China.Reli hiyo itaunganisha Kenya na Sudan Kusini, DR Congo na Burundi.