Saturday, 15 March 2014
UCHANGIAJI DAMU NI HIARI SI LAZIMA.
KIONGOZI WA VIJANA(MABALOZI ) MTAA WA MABATINI AKICHANGIA DAMU KATIKA SIKU YA MATENDO YA HURUMA YA VIJANA YA WAADVENTISTA WA SABATO.
we umelenga kuokoa wa ngapi kwa kuchangia damu yako itakayookoa mtoto wako au ndugu yako wa karibu ambaye usingependa apoteze maisha kwa kukosa damu?
tafadhali penda kuokoa maisha ya wenzako kuonyesha vitendo na wala si kuhurumia kwa ishara tuu
MUNGU akubariki unapotafakari namna unavyojisikia kuanza kumsaidia mgonjwa mmoja tangu sasa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment