hii ni moja ya picha zinazoonyesha namna gari iiyopata ajali katika barabara kuu ya jiji la mwanza.
swala la usalama inaanza na sisi wenyewe kwani usalama wa mtu ni lazima uwe katika hatma ya wapi,nini na wapi .
mazoea ni hatarishi kwa usalama kwani unapozoea kutokujali maisha yako mwisho utapata matokeo yake.
usalama wa barabarani mara nyingi kwa madereva bodaboda umekuwa wimbo usio na kiitikio kwani hata wakiambiwa bado wanaongozwa na mazoea na mwisho wataona.
MUNGU ibariki tanzania na watu wake.
No comments:
Post a Comment