Wednesday, 5 February 2014
MAENDELEO NI UELEEWA WA JAMBO?
swala la TFD's ni swala la uelewa kwani inaonekana tangu serikali kupitia bunge lilipopitisha kumekuwepo na giza tototro juu ya matumizi ya
vifaa hivyo na namna zinavyohitajika kuwekwa na matunzo yake.
lakini shida ni nini? kwa tathmini ya haraka ni kuwa inaonekana uelewa wa wafanyabiashara kuhusu vifaa hivi ni hafifu kwani hadi lugha inayotumika imeonekana kuwa kikwazo hii inadhiirisha usumbufu na uelewa mdogo juu ya vitu hivi.
kimsingi serikali inadhamira safi dhidi ya watu wake kwani kuna baadhi ya wakora wameonekana mara kadhaa kukwepa kodi na vifaa hivi vinawezesha serikali kupata kumbukumbu sahihi ya mapato hasa ya wafanyabiashara ili kuweza kukusanya kihalali.......
lakini je,swali linabakia wamekosea wapi mpaka migomo na kelele za wafanyabiashara zinaibuka?
jawabu elimu itolewe kwa wananchi ili waweze kuelewa hasa maswala haya.na matumizi halisi ya kifaa hiki ........ili serikalai na wananchi wake kwa pamoja waridhike asiwepo wa kulalamika.
Labels:
afrika mashariki,
kijamii,
kitaifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment