Jaji mfawidhi kanda ya mwanza Bi.Aishaeli Sumari.akitoa hotuba katika maadhimisho ya siku ya sheria nchini.
imefkia wakati mahakama inatakiwa kuwa ya wazi kwa wote ili kufanya haki itendeke na ionekane inatendeka hii ni kwa mujibu wa sheria na
kanuni za maisha halisia.
dhana ya haki inawezekana isiwe na urahisi wa kueleweka katika masikio na ya wahitaji haki na watoa haki lakini inalazimu ifanyike hivyo.
hii ndiyo dhana halisi ya kupatikana na kutoa haki. je watanzania tutafika huku ambako haki inatakiwa kutolewa?
siwezi sema lakini inatakiwa tanzania ibadilike na kufanya kama ambavyo wanasema na kuandika katika makaratasi kama kumbukumbu...........
No comments:
Post a Comment