Wanafunzi wamedhiirisha uwezo wao wa kujadili masuala mbalimbali ya kimaadili ikiwemo kupanga namna ya kuweza kupambana na changamoto za kimaadili katika
jamii pamoja na kustawisha maadili katika taifa
Haya yote
yamesemwa na wanafunzi katika mdaalo wa wiki
moja uliondaliwa na secretariat ya maadili ya utumishi wa umma
inayowakutanisha wanafunzi wa shule mbalimbali jijini mwanza kama mkakati wa
kuimarisha madili katika jamii
No comments:
Post a Comment