Showing posts with label siasa. Show all posts
Showing posts with label siasa. Show all posts

Tuesday, 18 February 2014

Polisi wavamia Waandamanaji Bangkok















Habari za hivi punde zinasema kuwa Mamia ya polisi wanakabiliana na waandamanaji ambao wamekita kambi katika afisi za serikali kuanzia mwezi desemba kwa niya ya kuwangoa.

Monday, 10 February 2014

Uhuru Kenyatta, William Ruto want probe into former ICC prosecutor Ocampo's claims













Kenya: The Jubilee administration will press Parliament to investigate remarks by former ICC prosecutor Luis Moreno-Ocampo that foreign envoys had wanted him to prevent Mr Uhuru Kenyatta and Mr William Ruto from

Thursday, 26 December 2013

Kakobe ataja chanzo cha mawaziri kutokufanya kazi ipasavyo na kuwa mzigo.












Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zacharia Kakobe amesema mawaziri mizigo ni matunda ya uteuzi mbovu unaofanywa na mamlaka husika ambao hauzingatii vipawa vya uongozi.

Wednesday, 25 December 2013

Rais Kikwete awasili leo na.............












Dar es Salaam. Rais Jakaya Kikwete anatua nchini leo akiwa na lake moyoni kuhusu hatima ya baraza lake la mawaziri, baada ya kutengua uteuzi wa mawaziri wake wanne, wiki mbili zilizopita.
Rais Kikwete alikwenda Marekani, Desemba 18, mwaka huu kufanyiwa uchunguzi wa afya yake na akiwa huko, upepo wa kisiasa ulibadilika na kumlazimisha kuchukua hatua hiyo ambayo inampa wajibu wa kupanga upya safu yake ya uongozi.

Tuesday, 3 December 2013

Marais wa nchi wanacham wa EAC wasaini mkataba wa kuanza mchakato wa kuwa na sarafu moja

















Wakuu wa nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC, wamesaini mkataba wa kuanza mchakato wa kuwa na sarafu moja itakayotumika katika nchi zote wanchama wa jumuiya hiyo.

Lissu: Mabadiliko makubwa yanakuja upinzani bungeni












Kambi ya Rasmi ya Upinzani Bungeni, itafanya mabadiliko makubwa katika Baraza lake Kivuli wakati wa Mkutano Mkuu wa 14 wa Bunge unaoanza leo mjini Dodoma.

Friday, 29 November 2013

Waandamanaji Thailand wavamia jeshi














Mamia ya waandamanaji nchini Thailand waliingia kwa nguvu katika makao makuu ya jeshi mjini Bangkok, ikiwa ni siku ya sita tangu kuanza kwa maandamano dhidi ya serikali.
Msemaji wa jeshi amesema waandamanaji walivunja kufuli la mlango mkuu na kuingia katika eneo la makao makuu hayo ya jeshi. Baadaye waliondoka.

Baregu asema kuhusu Zitto






















Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Profesa Mwesiga Baregu amewataka viongozi wa chama hicho kutafakari na kudhibiti madhara yanayoweza kukikumba hasa baada ya hatua yake ya hivi karibuni ya kumvua nyadhifa zote, Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe na wenzake wawili.

Thursday, 28 November 2013

Shinawatra apona kung'olewa madarakani.














Waziri Mkuu wa Thailand, Yingluck Shinawatra, amepona kung'olewa madarakani baada ya kushinda kura ya kutokuwa na imani naye.

UTATA KUHUSU WARAKA ULIYOMFUKUZISHA ZITTO CHADEMA












Dar na Arusha. Utata mkubwa umeibuka kuhusu waraka halisi wa ‘Mkakati wa Mabadiliko 2013’ uliosababisha Zitto Kabwe kuvuliwa wadhifa wake wa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema na kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kilichofanyika Novemba 20 - 22, mwaka huu.

Wednesday, 27 November 2013

Berlusconi ajadiliwa kutimuliwa














Bunge la seneti nchini Italia linajadili hoja iwapo Waziri Mkuu mstaafu wa Italia Silvio Berlusconi atimuliwe au la kutokana na kupatikana na hatia ya kukwepa kulipa kodi.
Wachambuzi wanasema hoja ya kumtimua inatarajiwa

Tuesday, 26 November 2013

Jaji Mkuu aagiza kesi ya Mramba, wenzake iharakishwe
















Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, ameagiza kesi ya matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia Serikali hasara

Zitto.............


















Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe amejiweka katika mazingira

Wednesday, 13 November 2013

ICC: Duale denies state officials ‘fixed’ Ruto


















NAIROBI, KENYA: Majority Leader Adan Duale has denied that powerful people in the administration of

Wednesday, 6 November 2013

Sumaye amsema Lowassa hadharani

Dar es Salaam.Vita ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 imeingia katika sura mpya baada ya Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye kumlalamikia mrithi wake katika wadhifa huo, Edward Lowassa akimtuhumu kumfanyia mbinu chafu

JK kulihutubia Bunge kesho

Dodoma na Dar.Rais Jakaya Kikwete, kesho anatarajiwa kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Habari zilizopatikana Mjini Dodoma jana na kuthibitishwa na uongozi wa Bunge pamoja na Ikulu, Dar es Salaam zinasema atahutubia mchana

Friday, 1 November 2013

ZIMBABWE YAFUTA SHERIA KALI KWA WAKOSOAJI WA RAIS MUGABE

http://kiswahili.irib.ir/media/k2/items/cache/ea5f2786e7ba81c649efca9b3c61aadf_XL.jpg
Mahakama ya Katiba ya Zimbabwe imefuta sheria ya adhabu dhidi ya wanaomdhalilisha Rais wa nchi hiyo.
Awali sheria ya Zimbabwe ilikuwa ikiwazuia raia kukosoa na kuchunguza utendaji wa Rais Robert Mugabe au kumvunjia heshima,