Kenya imezindua rasmi ujenzi wa njia ya Reli
itakayounganisha kanda ya Afrika Mashariki na eneo la maziwa makuu
ujenzi utakaofadhiliwa na serikali ya China.Reli hiyo itaunganisha Kenya na Sudan Kusini, DR Congo na Burundi.
Friday, 29 November 2013
Waandamanaji Thailand wavamia jeshi
Mamia ya waandamanaji nchini Thailand waliingia kwa
nguvu katika makao makuu ya jeshi mjini Bangkok, ikiwa ni siku ya sita
tangu kuanza kwa maandamano dhidi ya serikali.
Msemaji wa jeshi amesema waandamanaji walivunja
kufuli la mlango mkuu na kuingia katika eneo la makao makuu hayo ya
jeshi. Baadaye waliondoka.Tume ya Katiba yaongezewa muda kwa ajili ya mchakato
Rais Jakaya Kikwete ameiongezea tena muda Tume ya Mabadiliko ya Katiba ili kuiwezesha kumaliza kazi yake.
Taarifa iliyotolewa na Ikulu juzi usiku, ilisema Rais Kikwete ameiongezea siku 14.
Baregu asema kuhusu Zitto
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Profesa Mwesiga Baregu amewataka viongozi wa chama hicho kutafakari na kudhibiti madhara yanayoweza kukikumba hasa baada ya hatua yake ya hivi karibuni ya kumvua nyadhifa zote, Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe na wenzake wawili.
Thursday, 28 November 2013
FAHAMU UGWIJI WA MWENDESHA MASHTAKA WA ICC(Fatou Bensouda)KABLA NA BAADA YA KWENDA ICC.
On 12 December 2011, Mrs. Fatou Bensouda of The Gambia was elected by consensus Prosecutor of the International Criminal Court by the Assembly of States Parties. Mrs. Bensouda was sworn in on 15 June 2012.
Shinawatra apona kung'olewa madarakani.
Waziri Mkuu wa Thailand, Yingluck Shinawatra, amepona kung'olewa madarakani baada ya kushinda kura ya kutokuwa na imani naye.
Tuhuma zang’oa maofisa Maliasili
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki amesema wizara yake imewasimamisha kazi baadhi ya maofisa kutokana na kujihusisha na biashara haramu ya ujangili wa meno ya tembo.
Subscribe to:
Posts (Atom)