Monday, 10 February 2014

angalia video ya hotuba ya jk iliokamata vichwa vya wengi.

       

''Shabiki'' wa Liverpool auawa Kenya














Mwanamume raia wa Kenya anayeshabikia klabu ya soka ya Uingereza ya Liverpool amedungwa kisu na mwenzake wa klabu ya

Bosco Ntaganda kizimbani ICC














Kiongozi wa zamani wa waasi katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Bosco Ntagandaa amefikishwa katika mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai ICC huko The Hague

Uhuru Kenyatta, William Ruto want probe into former ICC prosecutor Ocampo's claims













Kenya: The Jubilee administration will press Parliament to investigate remarks by former ICC prosecutor Luis Moreno-Ocampo that foreign envoys had wanted him to prevent Mr Uhuru Kenyatta and Mr William Ruto from

Wednesday, 5 February 2014

MAENDELEO NI UELEEWA WA JAMBO?














swala la TFD's ni swala la uelewa kwani inaonekana tangu serikali kupitia bunge lilipopitisha kumekuwepo na giza tototro juu ya matumizi ya

JE MAHAKAMA TANZANIA ITAFIKIA HATUA YA KUTOA HAKI YA KWELI?

Jaji mfawidhi kanda ya mwanza Bi.Aishaeli Sumari.akitoa hotuba katika maadhimisho ya siku ya sheria nchini.










imefkia wakati mahakama inatakiwa kuwa ya wazi kwa wote ili kufanya haki itendeke na ionekane inatendeka hii ni kwa mujibu wa sheria na

Thursday, 2 January 2014

Waziri wa Fedha afariki dunia












Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga (CCM), Iringa, William Mgimwa amefariki dunia jana katika Hospitali ya Kloof Medi-Clinic, Pretoria, Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa.Habari zilizopatikana jana kutoka Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini kupitia kwa Msemaji wake, Habib Awesi zilisema Waziri Mgimwa amefariki dunia mchana...