Saturday, 15 March 2014
UCHANGIAJI DAMU NI HIARI SI LAZIMA.
KIONGOZI WA VIJANA(MABALOZI ) MTAA WA MABATINI AKICHANGIA DAMU KATIKA SIKU YA MATENDO YA HURUMA YA VIJANA YA WAADVENTISTA WA SABATO.
we umelenga kuokoa wa ngapi kwa kuchangia damu yako itakayookoa mtoto wako au ndugu yako wa karibu ambaye usingependa apoteze maisha kwa kukosa damu?
Tuesday, 18 February 2014
Polisi wavamia Waandamanaji Bangkok
Habari za hivi punde zinasema kuwa Mamia ya polisi
wanakabiliana na waandamanaji ambao wamekita kambi katika afisi za
serikali kuanzia mwezi desemba kwa niya ya kuwangoa.
Wachimba migodi wahofia kukamatwa
Kundi la wachimbaji migodi haramu waliookolewa kutoka
mgodi uliotelekezwa nchini Afrika Kusini na maafisa wa uokoaji
wanatarajiwa kufika kizimbani hivi leo.
Tuesday, 11 February 2014
vijana vyuoni mwanza wavunja ukimya
bango la vijana wa vyuo mwanza ya kuonyesha mahaba yao kwa mh.waziri kuu mstaafu Edward N.Lowasa
Mh.waziri mkuu mstaafu Fredrik Sumaye. Akizungumza na waandishi wa habarai mara baada ya kongamano na wanavyuo
kwa hali hii kuondokana na ajali za barabarani hatuponi.
hii ni moja ya picha zinazoonyesha namna gari iiyopata ajali katika barabara kuu ya jiji la mwanza.
swala la usalama inaanza na sisi wenyewe kwani usalama wa mtu ni lazima uwe katika hatma ya wapi,nini na wapi .
Subscribe to:
Posts (Atom)






