Wednesday, 6 November 2013

MVUA KUBWA YAZOROTESHA USAFIRI JIJINI MWANZA.Tarehe 06/11/2013

















moja ya picha zinazoonyesha madhara ya mvua katika eneo la mabatini.


















Leo jijini mwanza mvua kubwa imevuruga sekta ya usafirishaji ambapo watu wengi wameshindwa kufika katika maeneo yao ya kazi kwa wakati

Mvua hiyo iliyoanza kunyesha usiku wa kuamkia leo imesababisha maafa makubwa ambapo daraja la mabatini haikupitika kwa uraisi ambapo magari yalilazimika kupita njia ya nyasaka ,pansiasi ndipo kuingia mjini..


No comments:

Post a Comment